Cancer,Scorpio,Pisces-Reset

💧 CANCER ♋️ • SCORPIO ♏️ • PISCES ♓️

Mpenzi, umeingia kwenye kipindi ambacho access ya watu kwako inazidi kuwa ya thamani. 😭 Na siyo pesa tu. Tunazungumzia muda wako, nguvu zako za kihisia, mwili wako, attention yako, msamaha wako kila kitu.Kuna mtu alizoea kupokea sehemu nzuri na laini ya moyo wako huku yeye akikupa kidogo sana kwa upande wake: visingizio, confusion au kutokuwa consistent.

Lakini sasa ndani yako kuna sauti inayosema:“Hiyo imekwisha.” 😂🚫 Jifunze kusema NOUjumbe mkubwa hapa ni kwamba YES yako haina maana kama unaogopa kusema NO.Baadhi yenu mmekuwa mkisema mnawaelewa watu, lakini kwa kweli mmekuwa mkivunja boundaries zenu wenyewe ili tu kuweka amani.Wakati huo huo, wao wako kwenye amani kabisa kwa sababu wewe ndiye unabeba usumbufu wote. 😭Sasa ni wakati wa kuweka mipaka.

🌱 Anza kile ambacho umekuwa ukiahirishaKuna jambo ambalo umekuwa ukitaka:kuanza,kujifunza,kujenga,kuomba,kuuza,au kulipa nguvu zaidi.Huenda bado unajiona kama mwanzo kabisa, lakini ujumbe ni:ANZA HIVYO HIVYO.

Huhitaji kujua kila hatua kabla hujachukua hatua ya kwanza.Energy ya beginner inaweza kugeuka kuwa kitu halisi na chenye matokeo makubwa, kwa sababu sasa uko tayari kuacha kusubiri mpaka ujisikie “ready.”✨ Mwanga wako unarudiConfidence yako inaanza kurudi. Na siyo kuhusu mwonekano tu.Ni kama nguvu ya maisha yako ilikuwa imekauka kwa sababu umekuwa ukimimina nguvu nyingi kwa watu, watoto, familia, kazi, mahusiano na emergencies za wengine.Wakati huo huo, kikombe chako mwenyewe kilikuwa kimebaki tupu. 🥴Kwa hiyo:💧 Kunywa maji.🌸 Jitunze.😴 Pumzika.🎨 Tengeneza kitu.😂 Cheka.🌿 Toka nje.

✨ Vaa kitu kizuri kwa ajili yako mwenyewe.Rudisha nguvu zako kwako.👑 Confidence mpya inakujaKuna confidence inayorudi ambayo baadhi ya watu wanaweza wasiwe tayari kuiona.Version yako ambayo waliweza:kukufanya ujisikie guilty,kukupa kidogo kidogo ili ubaki,kukudhibiti,kukufanya usubiri,au kukuchelewesha…inaanza kutoweka.Na ujumbe unaokuja ni:

> “Naweza kukupenda na bado nikakwambia hapana.

”> “Naweza kukusamehe na bado nisikuruhusu urudi kwenye maisha yangu.

”> “Naweza kukujali na bado nikajichagua mimi.”🔥 Hapo ndipo upgrade ilipo.

💰 Baada ya kuweka boundary, mambo yanaweza kuanza kusongaKwa baadhi yenu, mara tu unapoweka boundary hiyo, jambo ambalo umekuwa ukilisubiri linaanza kusonga kwa kasi.Inaweza kuwa:💰 Pesa💼 Fursa🌱 Mwanzo mpya🏆 Recognition❤️ Au mtu hatimaye kukuonyesha wazi anasimama wapi.

Energy yako imekuwa imefungwa kwenye sehemu nyingi ambazo hazikuwa zinazalisha chochote.Sasa ivute energy hiyo irudi kwako.💎 Ujumbe wa mwishoUnaruhusiwa kuwa “expensive” katika energy, muda na standards zako. 💅🏾💧Si kila mtu anastahili access kamili kwako.

Cancer • Scorpio • Pisces, huu ni wakati wa RESET. 🌊✨

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top