Virgon Season-Msimu wa Mashuke

⚡♍️ KARIBU MSIMU WA VIRGO ‼️NI WAKATI WA KUSAFISHA MAISHA YAKO — CHUKUA NOTES 📝

Msimu wa Virgo unaanza leo usiku EDT na keshw Asubui EAT, na huu ni ukumbusho kwamba si kila kitu kilichopo kwenye maisha yako kinapaswa kuendelea na wewe katika hatua inayofuata.Jua linaingia Virgo karibu saa 4 asubuhi kwa saa za Afrika Mashariki usiku EST, na hapo rasmi msimu wa Leo unafungwa.

Lakini kabla ya hapo, Jua bado linaungana na South Node huko Leo, hivyo leo ni siku ya mwisho ya kuachilia mambo ambayo hayakutumikii tena na kuachana kwa makusudi na energy ya zamani ya Leo.🔥 Hii inamaanisha nini?Energy ya Leo inaweza kuhusisha kiburi, ego, kutafuta recognition, kutaka kuthibitishwa, kutaka kuonekana, kutafuta attention, au kushikilia msimamo fulani kwa sababu tu hutaki kuonekana umeshindwa.Wakati mwingine pride inaweza kukufanya ushikilie situation ambayo tayari imefika mwisho wake.South Node inahusishwa na kuachilia.Kwa hiyo leo ni wakati wa kuachilia:EgoHaja ya validationHaja ya kuonekana na kila mtuHaja ya kuthibitisha thamani yakoHaja ya kushikilia kitu kwa sababu pride yako haikuruhusu kuondokaAcha kiende. 🕊️Huhitaji kuonekana na kila mtu.Huhitaji approval ya kila mtu.Huhitaji kuthibitisha thamani yako.Na huhitaji kuendelea kuigiza version yako ambayo tayari umeikua na kuiacha nyuma.Kisha energy inabadilika.

♍️ VIRGO SEASON IMEFIKA!

Virgo inahusishwa na mpangilio, utambuzi, uwajibikaji, kujiboresha, afya, routines, kazi, tabia, details na kurudisha maisha yako katika mpangilio unaofanya kazi.Virgo haulizi tu:“Ninataka nini?”Inauliza:“Kile ninachofanya sasa hivi, KINAfanya kazi kweli?”Ndiyo maana Virgo inahusishwa na nyumba ya 6, inayohusu maisha yako ya kila siku ratiba, kazi, majukumu, afya, wellness na tabia unazorudia kila siku ambazo hatimaye zinatengeneza maisha yako.Na kuna jambo muhimu la kukumbuka

⚠️ MAISHA YENYE UCHAFU YA KILA SIKU YANAWEZA KUTENGENEZA MAISHA YENYE UCHAFU.

Ratiba ikiwa chaotic, majukumu yakipuuzwa, boundaries zikiwa hazina consistency na mazingira yako yakiwa hayana mpangilio, inakuwa vigumu sana kujisikia grounded na kuwa na control.

Virgo season inakupa nafasi ya KUREKEBISHA HILO.

♍️✨📝 Panga ratiba yako.

📝 Safisha mazingira yako.

📝 Rekebisha tabia zako.

📝 Panga priorities zako.

📝 Weka boundaries zako.

📝 Safisha vitu na watu unaowapa energy yako.

Huhitaji kubadilisha maisha yako yote kwa usiku mmoja.Anza na details.

Virgo inajua kwamba marekebisho madogo yanapofanywa kwa consistency yanaweza kuleta mabadiliko makubwa baada ya muda.

🌙 NA KUNA ZAIDI INAYOTOKEA LEO USIKU

Jua linaingia Virgo na kuunda trine na Chiron retrograde huko Taurus, jambo ambalo kwenye astrology linaweza kutafsiriwa kama support ya healing kupitia mabadiliko ya vitendo, stability na kufanya choices zenye afya zaidi.

Mwezi unaingia Capricorn, na kuongeza energy ya Earth—responsibility, discipline, structure na kuwa serious kuhusu mambo yanayohitaji kushughulikiwa.

Baadaye usiku, Moon ya Capricorn inafanya square na Neptune huko Aries, kwa hiyo usishangae kama emotions, uncertainty au confusion zitajaribu kufunika judgment yako.Usifanye jambo lionekane kubwa kuliko lilivyo.Usiruhusu hofu au assumptions zikufanyie maamuzi.

🧘🏽‍♀️ JIWEKE KWENYE UKWELI.Ground yourself in facts.Virgo season si kuhusu kuwa perfect.Ni kuhusu kufanya maisha yako YAFANYE KAZI VIZURI ZAIDI.

Leo ni siku ya mwisho ya Leo season.

🔥 Achilia ego.

🔥 Achilia hitaji la validation.

🔥 Achilia hitaji la kuonekana.

🔥 Achilia hitaji la kujithibitisha.

♍️ USIKU HUU, VIRGO ANACHUKUA USUKANI.

Na ni wakati wa kurudisha maisha yako kwenye mpangilio.

📝✨Kama umekuwa ukifuatilia kwa makini, Universe imekuwa ikikuonyesha nani na nini kinahitaji kuondoka, na nini kinahitaji kubadilika kwa ajili ya maisha yako kuwa bora.

TAKE NOTES. 👀📝🔥 KUMBUKA WEWE NI NANI.💜🔮

Leave a Comment

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Scroll to Top