🔥💨 ARIES • LEO • SAGITTARIUS • GEMINI • LIBRA • AQUARIUS 💨🔥
Baby, kuna mtu anaongea mambo kukuhusu na anatengeneza story yake mwenyewe, kwa sababu kwa sasa hajui kinachoendelea katika maisha yako.
😭Na jambo la kushangaza ni kwamba mtu huyu anaweza kuwa anakujaza tabasamu usoni, halafu nyuma yako anaenda kuzungumzia mambo yako. Au anaweza kuwa mtu ambaye hamna tena mawasiliano, lakini bado anataja jina lako kwenye mazungumzo ambayo hata wewe haupo.Kuna gossip, assumptions na mtu anayekutazama kwa mbali huku akijaza mapengo ya taarifa kwa kile anachodhani ndicho kinachoendelea.
🗣️ Mtu huyu alikuzoea kumsaidiaKuna uwezekano mkubwa kwamba uliwahi kumpa sana mtu huyu.Muda wako.Nguvu zako.Ushauri.Attention.Pesa.Fursa.Upendo.Msamaha.Lakini yeye akazoea kupokea kutoka kwako huku ndani yake akiwa na energy isiyo nzuri kwako.Sasa kwa kuwa access yake kwako imepungua, ameanza kutengeneza story kuhusu wewe.
🪄 MAGITIAN — NGUVU IKO KWAKO
Hapa ndipo reading inabadilika.Unaingia kwenye kipindi ambacho unaweza kujijengea mambo yako mwenyewe bila kuhitaji approval, ruhusa au ushirikiano wa mtu mwingine.Mtu huyu anaona hilo.Anaona unavyotengeneza maisha yako, unavyopata opportunities, unavyovutia resources na jinsi unavyozidi kuwa mtu ambaye si rahisi tena kudhibitiwa.Na hilo linamsumbua kwa sababu alidhani ungeendelea kumhitaji kwa muda mrefu zaidi.
💌 MTU WA ZAMANI ANAWEZA KURUDI
Kuna energy ya mtu ambaye anaweza kurudi akiwa mpole, mchangamfu na mwenye kuonekana hana nia mbaya.Inaweza kuwa:📱 Ujumbe🙏 Msamaha❤️ Flirt💬 Compliment👀 Au kujaribu tu kuona kama bado mlango uko wazi.Lakini usikimbilie kuamini kila kitu anachosema.Mtu anaweza kukukumbuka lakini bado hajabadilika.Mtu anaweza kuomba msamaha lakini bado awe hajafanya kazi ya kubadilisha tabia yake.😂
ANAULIZA: “ANAZUNGUMZA NA NANI?”
Kuna pia wivu kuhusu options zako.Mtu huyu hajui kama:Umeendelea na maisha.Unaongea na mtu mwingine.Unadate.Unapata pesa zaidi.Kuna mtu mpya anayekusaidia.Au maisha yako yamebadilika kwa kiasi gani.Tatizo ni kwamba hana access ya kutosha tena kujua kinachoendelea.Kwa hiyo imagination yake inaanza kufanya kazi kupita kiasi.
😂⚖️ CHAGUA ENERGY INAYOKURUDISHIA
Six of Pentacles pamoja na Magician vinaonyesha kwamba energy yako inapaswa kwenda mahali ambapo kuna reciprocity.Usiendelee kutoa energy ya kiwango cha juu kwa mtu anayekupa juhudi za kiwango cha chini.Usimpe mtu premium energy wakati yeye anakupa free-trial effort. 😭Maisha yako yanaelekezwa kwenye connections, pesa na opportunities ambazo exchange yake ni ya haki.
✨ DALILI ZA READING HII
Gossip • urafiki wa kujifanya • mtu anayekutazama kwa mbali • message au apology isiyotarajiwa • wivu kuhusu options zako • assumptions kuhusu maisha yako ya mapenzi • mtu aliyewahi kunufaika kupitia wewe • manifestation kuanza kuleta matokeo • kurudisha nguvu na access yako.♊♍♓♋♏♎♒Gemini • Virgo • Pisces • Cancer • Scorpio • Libra • Aquarius zinaweza kuwa na umuhimu katika reading hii.
✨ Chukua kinachokuhusu na acha kisichokuhusu.